Sauti ya Jogoo
Publisher
Corona Cermak
Language
English
BOOK OVERVIEW
Sauti ya Jogoo. Jifunze sauti ya jogoo na maisha ya wanyama wa nyumbani. Jifunze kuhusu sauti zao, chakula chao, mahali wanapoishi na pia nani ni mla kupita wengine. Hadithi imepambwa kwa michoro yenye rangi za kuvutia ya aina ya Tingatinga ili watoto wafurahie wakati wanajifunza.