Sauti ya Jogoo
Mchapishaji
Corona Cermak
Lugha
English

Azima Kitabu Hiki

Expires on August 01, 2025

TSh 3,000/=

Chagua

MAELEZO YA KITABU

Sauti ya Jogoo. Jifunze sauti ya jogoo na  maisha ya wanyama wa nyumbani. Jifunze kuhusu sauti zao, chakula chao, mahali wanapoishi na pia nani ni mla kupita wengine. Hadithi imepambwa kwa michoro yenye rangi za kuvutia ya aina ya Tingatinga ili watoto wafurahie wakati wanajifunza.