
Salama Binti Rubeya - Memories From the Swahili Littoral
Ida Hadjivayanis is an academic at SOAS University of London where she lectures on Swahili studies. She has translated Dhulma (2025) and Peponi (2022), the Swahili translations of Theft (2025) and Paradise (1994) respectively by the Nobel laureate,
|
|
Salama Bnt Rubeya Simulizi Kutoka Mwambao wa Bahari ya Hindi
Kitabu hiki kinaangazia maisha ambayo yalikuwepo baina ya maeneo ya kijiografia yaliyokuwa na mawasiliano ya kipekee katika bahari ya Hindi. Kitabu kinaakisi zaidi maeneo ya Kilwa na Zanzibar kwa kupitia kumbukumbu za Salama binti Rubeya aliyekabili maisha kwa uvumilivu katika muktadha wa ustaarabu wa kilimwengu.
|
|
No award found
Ask Ida Hadjivayanis Salha Hamdani anything
No questions, Be the first to ask Ida Hadjivayanis Salha Hamdani
Contact Form