Ngome ya Mianzi
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
“Fikirini wenyewe jinsi gani mnaweza kuitumia silaha hiyo kujihami. Leo lazima Mianzi ya chuma ya watoka mbali ipambane na mianzi yetu ya asili. Mwanzi wa kweli utajulikana kesho... silaha kali: silaha ya mianzi, ngome ya mianzi, moto wa mianzi, mtego wa mianzi...”
Vijana wawili wadogo, Muhoga na Nyawelu wanapoanza safari ndefu ya kumwokoa mamake Muhoga, hawajui kwamba safari yao itageuka vita vikali vya kukiokoa kijiji kizima kwa usaidizi wa mianzi.