
Maji Mandiga
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Simulizi hii inaakisi uhalisia wa changamoto za maji wanazokutana nazo wanawake hasa wanaoishi vijijini. Iwapo kutakuwa na kufanana kwa jina au tukio la aina yoyote basi haikuwa dhamira ya mtunzi na mwandishi.