Kuandika kwa Vitendo Kitabu cha Pili
                      
                                
                                
                                
                                
                                             Publisher 
                                        
                                        
                                            Ape Network
                                        
                                    
                                             Language 
                                        
                                        
                                            Swahili
                                        
                                    BOOK OVERVIEW
Kitabu hiki kinafundisha somo la Kuandika kulingana na muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 2 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora. Kitabu kina mazoezi mengi kwa vitendo hivyo hadi kufikia mwisho, mwanafunzi atakuwa mahiri na mwenye uwezo mkubwa wa kuandika kwa usahihi herufi, silabi, maneno, sentensi na habari fupi. Tunaamini kuwa kitabu hiki kitamjengea mwanafunzi uwezo wa kumudu somo la Kiswahili kwa ujumla.
Yaliyomo: 1. Kuumba herufi, 2. Kuunda silabi na maneno, 3. Kuandika sentensi kwa mfuatano sahihi wa matukio, 4. Kuandika kwa kutumia alama za uandishi, 5. Kuandika hadithi fupi zenye kueleweka na ushikamani












