Gubu la Mume
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Kwa mume kuna ngodo Mwanahamisi hakuna uhondo. Wala hakuna utamu kuna balagham! Ndivyo alivyoniambia somo yangu Mama Muhidini kabla sijaolewa.
Nilidhani anatania. Loh! Nyumba niliiyona kama kaburi babu, GUBU LA MUME lilinishinda.