
No video uploads for Mohammed Hammie Rajab |
Maji Mandiga
Simulizi hii inaakisi uhalisia wa changamoto za maji wanazokutana nazo wanawake hasa wanaoishi vijijini. Iwapo kutakuwa na kufanana kwa jina au tukio la aina yoyote basi haikuwa dhamira ya mtunzi na mwandishi.
|
|
|
Gubu la Mume
Kwa mume kuna ngodo Mwanahamisi hakuna uhondo. Wala hakuna utamu kuna balagham! Ndivyo alivyoniambia somo yangu Mama Muhidini kabla sijaolewa. Nilidhani anatania. Loh! Nyumba niliiyona kama kaburi babu, GUBU LA MUME lilinishinda.
|
|
|
|
|
|
Dunia Hadaa
Starehe na vishawishi vinamteka Diana na kujikuta ameingia kwenye ulimwengu mpya. Pengine hatutarajii kumwona katika ulimwengu wa aina hii kwa vile ni mwanamke aliyeolewa. lakini tayari ameshaingia.
|
|
No award found
Ask Mohammed Hammie Rajab anything
No questions, Be the first to ask Mohammed Hammie Rajab
Contact Form