AL HAJ ABDALLAH MOHAMMED TAMBAZA

BIOGRAPHY




No video uploads for Al haj Abdallah Mohammed Tambaza
Shajara ya Mwana Mzizima

Kitabu hiki ni mfululizo wa vitabu vya kumbukumbu ya watu mashuhuri na matukio muhimu katika kudai Uhuru wa Tanganyika na miaka 15 ya kwanza baada ya Uhuru. Katika kitabu hiki cha kwanza tutazama mchango wa waasisi, na Taasisi muhimu.


  • Published : September 13, 2013

Shajara ya Mwana Mzizima Pili

Kitabu hiki ni mfululizo wa vitabu vya kumbukumbu ya sehemu mashuhuri katika jiji la Dar es Salaam. Kitabu hiki ni cha pili ambacho kinachoonesha jiji la Dar es Salaam kwa jicho la mkazi mwenyeji. Historia hii ni muhimu kutambua tulipotoka na tunapokwenda tusije sahau tukapotea. Pia itakuwa kitabu cha kurejelewa kwa wasomi wa historia.


  • Published : September 13, 2013

Shajara ya Mwana Mzizima Tatu

Kitabu hiki ni mfululizo wa vitabu vya kumbukumbu ya sehemu na watu mashuhuri katika jiji la Dar es Salaam. Kitabu hiki ni cha tatu ambacho kinaonesha jiji la Dar es Salaam kwa jicho la mkazi mwenyeji. Historia hii ni muhimu kutambua tulipotoka na tunapokwenda tusije sahau tukapotea. Pia itakuwa kitabu cha kurejelewa kwa wasomi wa historia.


  • Published : September 13, 2013

Shajara ya Mwana Mzizima Nne

Kitabu hiki ni mfululizo wa vitabu vya kumbukumbu ya sehemu na watu mashuhuri katika jiji la Dar es Salaam. Kitabu hiki ni cha tatu ambacho kinachoonesha jiji la Dar es Salaam kwa jicho la mkazi mwenyeji. Historia hii ni muhimu kutambua tulipotoka na tunapokwenda tusije sahau tukapotea. Pia itakuwa kitabu cha kurejelewa kwa wasomi wa historia


  • Published : September 13, 2013


No award found

Ask Al Haj Abdallah Mohammed Tambaza anything

Contact Form