Uozo Bandarini
Mchapishaji
Ape Network
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Christina, mhasibu mrembo na shupavu, mwenye msimano na
mpenda haki, alifanya kazi bandarini.
Mara nyingi, alitofautiana na meneja wa bandari alikofanya kazi. Haiba
yake ilimpelekea kuhamishwa toka bandari ya Kigoma hadi Mtwara.
Kabla hajatulia Mtwara, tofauti na meneja wake zinamfanya
kuhamishiwa bandari ya Mwanza.
Akiwa Mwanza, anaweka makazi kwa muda: hakukuwa na ugomvi
kati yake na meneja wa bandari ya Mwanza.
Siku asiyoitarajia, anapata barua ya kuhamia bandari ya Dar es salaam.
Ndipo anakuja kugundua UOZO BANDARINI