Simu ya Kifo
Mchapishaji
Ape Network
Lugha
Swahili

Azima Kitabu Hiki

Expires on August 02, 2025

TSh 3,000/=

Chagua

MAELEZO YA KITABU

Mzee Jacob anafariki ghafla akiwa nyumbani kwake. Uchunguzi unabainisha kuwa amefariki kwa kuvuta sigara yenye sumu. Siku chache baadaye, bintiye, Mary anapigwa risai. Msururu wa vifo unaendelea kutokea mbali ya kuwa inspekta Wingo anajitahidi kufuatilia kwa karibu kuweza kubaini chanzo na mhusika wa mauaji haya. Mbaya zaidi, kila kifo kinapotokea, FAMBO anampigia inspekta Wingo simu na kumtaarifu kuwa punde si punde fulani atafariki.

Je, inspekta Wingo anaweza kutegua kitendawili na kuzuia kifo kinachotazamiwa kutokea? Na je, FAMBO ni nani hadi afahamu yajayo? Na je anahusika katika mauaji haya?