
Methali za Kikwetu
Mchapishaji
Ape Network
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Mkusanyiko wa methali zaidi ya 2200 zilizofafanuliwa na kutolewa maana sanifu na inayoendana na muktadha wa sasa.