Jikumbushe Kiswahili Kidato cha Pili
Mchapishaji
Ape Network
Lugha
Swahili

MAELEZO YA KITABU

Kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 570 toka mitihani ya taifa ya kidato cha pili toka mwaka 2011 hadi 2019 na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa. Kamusi ya maneno muhimu yanayojitokeza katika somo la kiswahili kidato cha kwanza na cha pili.