
M. M. MULOKOZI SEHEMU YA PILIProfesa M. M. Mulokozi akitoa historia ya maisha yake hapa anaongelea maisha ya shule ya msingi
|
|
M. M. MULOKOZI SEHEMU YA NNEProfesa M. M. Mulokozi akitoa historia ya maisha yake hapa anaongelea namna alivyokuwa mpenzi wa kusoma
|
|
M. M. MULOKOZI SEHEMU YA TATUProfesa M. M. Mulokozi akitoa historia ya maisha yake hapa anaongelea namna alivyo nyanyuliwa panga na baba yake akimtaka asome.
|
|
M. M. MULOKOZI SEHEMU YA SITAProfesa M. M. Mulokozi akitoa historia ya maisha yake hapa anaongelea namna alivyo tengeneza godoro la nyasi alivyokuwa shule
|
|
M. M. MULOKOZI SEHEMU YA SITAProfesa M. M. Mulokozi akitoa historia ya maisha yake hapa anaongelea namna alivyo anza kuandika tamthiriya lwa mara ya kwanza na safari yake ya wandishi/utunzi
|
|
M. M. MULOKOZI SEHEMU YA KWANZAProfesa M. M. Mulokozi akitoa historia ya maisha yake tangu alipo zaliwa na maisha mengine ya shule, nk
|
|
M. M. MULOKOZI SEHEMU YA TANOProfesa M. M. Mulokozi akitoa historia ya maisha yake hapa anaongelea namna alivyo pokea taarifa za ufaulu wake na kijiji kilivy furahi kwaajili yake
|
|
Mukwava wa Uhehe
Mukwava wa uhehe ni Tamthiliya ya kihistoria inayoangazia matukio muhimu ndani ya himaya ya Mukwavinyika wa Uhehe katika kipindi cha uvamizi wa Wajerumani, katika ardhi ya Tanganyika kati ya mwaka 1891 – 1898.
|
|
Ngome ya Mianzi
“Fikirini wenyewe jinsi gani mnaweza kuitumia silaha hiyo kujihami. Leo lazima Mianzi ya chuma ya watoka mbali ipambane na mianzi yetu ya asili
|
|
Ngoma ya Mianzi
Mbumi na Chulu wanasimama kidete katika harakati za kuikomboa jamii yao dhidi ya utawala katili wa Wajerumani. Licha ya udogo wa umri wao, vijana hawa wanaleta mabadiliko yasiyomithilika. Visa, mikasa na changamoto zinatawala safari yao. watafanikiwa?
|
|
Malenga wa Bara
Mwanzoni mwa miaka ya 1970 palitokea mgogoro wa ushairi nchini Tanzania na Kenya. Makundi mawili, yaliyoitwa “wanamapokeo” na “wanausasa”, yalibishana magazetini, vitabuni na kwenye..
|
|
Moto wa Mianzi
Riwaya ya Moto wa Mianzi inahusu matukio yaliyofuatia kutekwa kwa Ngome ya Kalenga mwaka 1894. Mutwa Mukwava alikimbilia Kilolo. Mugoha Muhanzala...
|
|
No award found
Ask M. M. Mulokozi anything
No questions, Be the first to ask M. M. Mulokozi
Contact Form