
Snippet
FARAJI KATALAMBULA SEHEMU YA KWANZAMtoto wa Faraji Katalambula akielezea maisha ya Baba yake kabla ya uandishi.
|
|
FARAJI KATALAMBULA SEMU YA PILIMtoto wa Faraji Katalambula akieleza kazi za baba yake.
|
|
Simu ya Kifo
Mzee Jacob anafariki ghafla akiwa nyumbani kwake. Uchunguzi unabainisha kuwa amefariki kwa kuvuta sigara yenye sumu. Siku chache baadaye, bintiye, Mary anapigwa risai.
|
|
Pendo Pevu
Matumaini ya wazazi wa kijana Vitto yanazimika ghafla mithili ya kibatari kilichopulizwa na upepo mkali. Haya yanajiri baada ya kijana wao, Vitto, kubadili uamuzi wake kuhusiana na kumuoa binti aliyechaguliwa na wazazi wake.
|
|
Unono
Starehe za mjini zinamfanya kijana Unono asahau alikotoka. Unono anakumbatia ugeni hata kufikia hatua ya kuikana familia yake. Wazazi wanamuachia radhi na hatimaye Unono anakutana na yanayomrudisha nyumbani. Je, atapokelewa?
|
|
Mirathi
Kifo cha Masanja kinatarajiwa kuwa sherehe kwa mkewe na watu wake wa karibu. Msiba wake unafananishwa na mzoga wa paa kati ya kundi la fisi, huku kila mmoja akitaka kujipatia mali za marehemu.
|
|
Pili Pilipili
Penzi ni pumbazo tena pumbazo kichefuchefu linaloweza kumfanya mtu afanye yasiyotarajiwa. Muhusika mkuu katika riwaya hii anadondoka katika penzi zito la binti Pili linalomea na kufa haraka mithili ya uyoga likiacha majuto na muwasho maishani mwake.
|
|
Lawalawa
Lawalawa anaingia matatani baada ya kutuma barua ya mpenzi wake kwa mumewe kimakosa. Majuto na wasiwasi vinamwandama anapoisubiri hatima yake kutoka kwa mumewe. Je, Kuna matumaini ya ndoa yake changa? Fuatilia mkasa huu.
|
|
No award found
Ask Faraji Katalambula anything
No questions, Be the first to ask Faraji Katalambula
Contact Form