
No video uploads for Dr. Chris Mauki |
Msongo wa Mawazo (Uelewe na Umudu)
Bila kujali umri, cheo ulichonacho, hadhi uliyonayo, sehemu unayoishi, rangi, taifa wala kabila, msongo wa mawazo humkuta kila mtu. Msongo wa mawazo upo kila mahali si kwa wanawake si kwa wanaume, si kwa watoto si kwa watu wazima, si kwa walio kwenye ndoa, si kwa ambao hawajaingia kwenye ndoa.
|
|
|
Malezi Yenye Tija
Natumaini hakuna atakayepingana na ukweli kwamba kuzaa ni kazi rahisi zaidi ukilinganisha na kulea. Kwa uzoefu wa miaka kadhaa sasa kwenye tasnia ya ushauri wa kisaikolojia “counseling” nimegundua kuwa wazazi wengi sana wanajua vizuri kuzaa lakini suala la kulea ni changamoto kwao
|
|
Jitambue Kisaikolojia
Jamii ya sasa imekuwa na mtazamo tofauti sana kuhusiana na mafanikio. Wengi wanadhani kuwa na mali, vitu na pesa ndio mafanikio ya kweli. Wapo waliovipata vyote hivi lakini ndani yao bado wakabaki na ombwe “vacuum/ emptiness” wakihitaji utoshelevu mwingine wa zaidi.
|
|
No award found
Ask Dr. Chris Mauki anything
No questions, Be the first to ask Dr. Chris Mauki
Contact Form