HAMISI A. S. KISSAMVU

BIOGRAPHY




No video uploads for Hamisi A. S. Kissamvu
Diwani ya Mkanyaji

Diwani ya Mkanyaji ni kazi maridhawa ya ushairi wa Kiswahili. Kama inavyofahamika pasi shaka kwamba, ushairi ndio utanzu wa awali miongoni mwa nyinginezo katika fasihi ya Kiswahili kuibushwa na binadamu katika harakati za kupambana na mazingira yake ya wakati huo.


  • Published : September 13, 2013

Mwendakizani

Ule usemi usemwao na baadhi ya watu kwamba karne hii malenga hawapo tena, wamebaki wapanga maneno tu, hata kwenda mbali zaidi kwa kudai kuwa Ushairi umefifishwa kufikia kiwango cha kudorora na si fani yenye hadhi tena, ushairi hauna mvuto mbele ya jamii ya waswahili wenyewe na hata wageni.


  • Published : September 13, 2013


No award found

Ask Hamisi A. S. Kissamvu anything

Contact Form