MASUKO CHRISTOPHER SALUHAYA

BIOGRAPHY




No video uploads for Masuko Christopher Saluhaya
Kiswahili Kwanza Kidato cha Tano & Sita na Elimu ya Juu

“Maarifa yoyote ya mtu yanakuwa na mantiki pale yanapoweza kuwafikia watu wengi zaidi ambao watayatumia katika kutanzua mikwamo yao ya taaluma na maisha kwa ujumla”. Kiswahili-1: Nadharia ya Lugha Kidato cha Tano, Sita na Elimu ya Juu nikitabu kilichoandikwa kwa kuzingatia Muhtasari wa Kiswahili Kidato cha Tano na Sita ambao ulianza kutumika mwaka 2010.


  • Published : September 13, 2013


No award found

Ask Masuko Christopher Saluhaya anything

Contact Form