
ABDALLAH J. SAFFARI SEHEMU YA KWANZAAbdallah J. Saffari akitoa historia yake ya kuzaliwa na safari ya masomo yake. n.k
|
|
ABDALLAH J. SAFFARI SEHEMU YA PILIAbdallah J. Saffar akieleza watunzi anaowapenda, pia safari zake za kikazi na katika kipindi chake vipi kulikuwa na maktaba.
|
|
ABDALLAH SAFFARI SEHEMU YA TATUAbdallah J. Saffari akieleza namna alivyo kwenda kwenye vyama vya upinzani
|
|
ABDALLAH SAFFARI SEHEMU YA NNEAbdallar J. Saffari akizungumzia namna alivyojikuta kwenye utunzi
|
|
Harusi
Vigelegele, vifijo na cherekochereko za kina mama wakiimba mamie mwana so ukaule mgeni kengia ndizo zinazokamilisha kilele cha harusi ya Rahman, mtoto wa Alhaj Mwinyi Karim kwa Shufaa binti wa Mwinyi Sitaki Shari.
|
|
Joka la Mdimu
RIWAYA hii inasawiri kisa cha mvuta kwama aliyepora pesa benki ili kumpeleka mwanaye kutibiwa Ulaya.
|
|
No award found
Ask Abdallah Saffari anything
No questions, Be the first to ask Abdallah Saffari
Contact Form