No video uploads for B. S. Mang’anda |
Nataka Kupaa Angani!
Nataka kupaa ni hadithi ya kuvutia, inayohusu mtoto anayejiuliza kwa nini hawezi kupaa angani? Majibu anayopewa yanamfahamisha kwa nini viumbe wengine wanaweza kupaa lakini binadamu ni vigumu kupaa kwa nguvu zake mwenyewe.
|
|
Wako Wapi?
Watoto wa bata hawaonekani. Mama bata anawatafuta. Wako wapi?
|
|
Hadithi za Esopo Kitabu cha Kwanza
Esopo alikuwa mtumwa kutoka Afrika aliyeishi katika nchi ya Uyunani, yaani Ugiriki ya sasa. Inasadikiwa kuwa Esopo alitokea nchi ya Ethiopia.
|
|
Hadithi ya Esopo Kitabu cha Pili
Esopo alikuwa mtumwa kutoka Afrika aliyeishi katika nchi ya Uyunani, yaani Ugiriki ya sasa. Inasadikiwa kuwa Esopo alitokea nchi ya Ethiopia.
|
|
No award found
Ask B. S. Mang’anda anything
No questions, Be the first to ask B. S. Mang’anda
Contact Form