
No video uploads for Namtuli Mpembulle |
Hekalu Lililopotea
Hekalu lililopotea ni hadithi ya mtoto aliyekwenda matembezi ya pwani na babu yake.
|
|
Shajara ya Kidawa
Mimi ninaitwa Kidawa Matonya. Nina umri wa miaka kumi na miwili. Wazazi wangu ni wakulima; wanaishi Msingisa, katika wilaya ya Kongwa.
|
|
Sungura Mkaidi
Sungura mtoto alikuwa hapendi kusikiliza ushauri kutoka kwa wakubwa wake. Vilevile hakuwaheshimu wakubwa. Siku alipoenda kuiba mboga za watu alifukuzwa na mbwa. Je, atanusurika?
|
|
No award found
Ask Namtuli Mpembulle anything
No questions, Be the first to ask Namtuli Mpembulle
Contact Form