
No video uploads for Namtuli Mpembule |
Mtoto Aliyefuga Nyoka
Katika kijiji cha Mkamba, waliishi Bwana Towela na mkewe Tunu. Waliishi na mtoto wao wa kiume aliyeitwa Matoha.
|
|
Sokwe Aliyevaa Miwani
Sokwe mdogo alikuwa mwoga kuteremka na kupanda vilima. Wakati mama na kaka yake wakienda mtoni bondeni kula na kuoga, yeye aliachwa nyumbani. Akihitaji kuoga hubebwa kwenda mtoni. Siku moja Simba alimkuta akiwa nyumbani peke yake. Je, simba atamwacha salama?
|
|
No award found
Ask Namtuli Mpembule anything
No questions, Be the first to ask Namtuli Mpembule
Contact Form