Huu McHezo...Hauhitaji Hasira!
Publisher
Lantern-E-Books
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 02, 2025

TSh 1,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

Habari kuwa Husna mke wa Mzee Makaidi anatembea na Dkt. Raymond Pembe zilimuumiza sana Mzee Makaidi, zilimuumiza kwa kuwa Pembe alikuwa swahiba na rafiki yake kipenzi na ndiye aliyemshauri atoke kijijini aje mjini ambapo angemtafutia nafasi ya kucheza mpira katika katika timu ya Mtalimbo ambayo alikuwa na mahusiano mazuri tu.Kama kuumia huku kulikuwa trela, basi kitendo cha kuzifikisha habari hizi kwa Zena mke wa Pembe kikawa picha halisi. Picha iliyowafanya Makaidi na Zena kuwa kitu kimoja wakipika na kupakua. Wakasahau hakuna mapenzi ya siri, ni hapo walipokubali kwamba, ‘Huu mchezo hauhitaji hasira.Huu Mchezo Hauhitaji Hasira ni hadithi iliyotolewa chini ya mradi wa Kitabu Kila Mahali uliodhamria kurejesha ari ya usomaji wa vitabu nchini. Mradi unaochapisha hadithi murua zilizo katika vitabu vidogo vya bei nafuu ambavyo ni rahisi kusomwa na kubebwa mahali popote.

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review