
No video uploads for Agnes E Mgoji |
Fukuto la Penzi
Ivan binti mrembo mithili ya malaika, kadhia na shuruba za maisha zinamlazimu kuacha shule kwenda kufanya kazi kama mjakazi katika familia ya kitajiri ya Maxmillian Ayo ili kumsaidia mama yake aliyepooza. Malengo yake ni mawili tu, kutafuta pesa kwaajili ya mama yake baadaye arudi shuleni.
|
|
No award found
Ask Agnes E Mgoji anything
No questions, Be the first to ask Agnes E Mgoji
Contact Form