
No video uploads for Derick Bori |
Mkimbizi Safarini Ulaya
Simulizi hii inahusu maisha ya Ali (Derick) Bori jijini Dar es salaam ambaye ingawa hatoki katika familia fukara, aliamua kuzamia Ulaya kwa matamanio ya kupata maisha bora zaidi. Akiwa ughaiibuni anakumbana na misukosuko kadhaa na anajikuta katika maisha na maswahibu ambayo hakuwahi kuyadhania.
|
|
No award found
Ask Derick Bori anything
No questions, Be the first to ask Derick Bori
Contact Form