
PENINA MHANDO SEHEMU YA KWANZAPenina Muhando ni mwandishi wa muda mrefu hapa anaelezea maisha yake, kuzaliwa kwake, safari yake ya elimu. n.k.
|
|
PENINA MHANDO SEHEMU YA TATUPenina Muhando ni mwandishi wa muda mrefu hapa anaelezea maisha yake, akiwa chuo kikuu cha Dar es salaam, maisha uhadhiri na utunzi wake.
|
|
PENINA MHANDO SEHEMU YA NNEPenina Muhando anaeleza mchakato na vuguvugu lililokuepo katika kuonyesha sanaa za ki afrika.
|
|
PENINA MHANDO SEHEMU YA TATUPenina Muhando anaeleza mchakato wa kupambana na wakoloni kupitia sanaa.
|
|
PENINA MHANDO SEHEMU YA TANOPenina Muhando akieleza mambo aliyokutana nayo vijijini wakati wa vuguvugu la kueneza sanaa na mradi waliouanzisaha
|
|
PENINA MHANDO SEHEMU YA SITAPenina Muhando akielezea utunzi wake, vitabu, mirabaha. n.k
|
|
Nguzo Mama
Penina Muhando (Pia Penina Mlama) ni mwandishi mbobevu na mwanazuoni wa Kiswahili hususan katika utanzu wa tamthiliya. Ameandika tamthiliya kama vile Heshima Yangu (1974), Pambo (1975), Lina Ubani (1984) na Mitumba Ndui (1989).
|
|
|
Pambo
Pambo ni kitabu kinachotoa mfano kamili wa dhamira mgongano unaowapata baadhi ya vijana wetu. Mwandishi ametumia mfano wa kijana Pambo kueleza tatizo hili kwa namna inayovutia.
|
|
Harakati za Ukombozi
Katika nchi moja ya Afrika, watu wamehangaika kudai uhuru na wameupata. Ila punde wanagundua kuwa wenye dhamana ya kuunda ukombozi wamejiweka mbele katika kufaidi matunda ya ukombozi
|
|
Hatia
Binti Cheja anapelekwa mjini na wazazi wake kufanya kazi kwa Sembuli – mwanakijiji mwenzao. Huko mjini Cheja anakutana na mwanamume, wanafanya jambo na Cheja anapata mimba! Kinyume na matarajio ya Cheja, Juma hana mpango wowote naye wala hataki kusikia habari ya huo mzigo Cheja alionao.
|
|
Hidaya ya Penina Muhando Volume One
Maandishi ni njia muhimu ya kuhifadhi maarifa, taarifa na utamaduni wa watu. Kupitia maandishi, simulizi za matukio, hekima na tajiriba za jamii hunaswa na kufanywa kuishi milele na hivyo kutegua kitendawili cha ukomo ambao kifo huleta kwenye uendelevu wa mambo.
|
|
Hidaya ya Penina Muhando Volume Two
Maandishi ni njia muhimu ya kuhifadhi maarifa, taarifa na utamaduni wa watu. Kupitia maandishi, simulizi za matukio, hekima na tajiriba za jamii hunaswa na kufanywa kuishi milele na hivyo kutegua kitendawili cha ukomo ambao kifo huleta kwenye uendelevu wa mambo
|
|
Lina Ubani
Jamii inakosa usawa na viongozi waliopewa dhamana wanakuwa mstari wa mbele kuharibu badala ya kujenga. Watawala hawashauriki na maamuzi yao yanatengeneza njia itakayoielekeza nchi korongoni.
|
|
Pambo
Hali ya Pambo inabadilika ghafla, anaanza kufanya mambo yanayoashiria kuwa ana changamoto kiakili.
|
|
Talaka Si Mke Wangu
Migogoro katika familia inazua hasira na hasira inazaa talaka. “...Ee chukua... Talaka si mke wangu... Nenda na mimi nipate kutulia roho...” Hivyo ndivyo mume anavyomtaliki mkewe.
|
|
Tambueni Haki Zetu
Raia wa nchi huru wanajikuta katika hatari ya kutawaliwa na wageni ambao wao wenyewe waliwakaribisha. Uhuru na amani yao imeingiliwa na kuna hatihati ya kuupoteza.
|
|
Kodi
Maisha yamekuwa na changamoto nyingi kwa watu wengi. Watoto wanafukuzwa shule, mke na mume hawaelewani na wengine wanafikia kuogopa hata kukaa nyumbani kwao, watoto na wazazi wanagombana, raia wanawalaumu viongozi wao...
|
|
No award found
Ask Penina Muhando anything
No questions, Be the first to ask Penina Muhando
Contact Form