EDWIN SEMZABA

BIOGRAPHY




Marimba ya Majaliwa

Je, umeshawahi kusafiri kwa kutumia ungo au fagio? Umeshapanda mgongoni mwa nguva au kutalii kwenye tumbo la nyangumi? Hivi ni baadhi tu ya visa alivyofanya Majaliwa akiwa katika safari yake kuzunguka Tanzania nzima akisaka marimba yake ya nyuzi ishirini.


  • Published : October 29, 2020


No award found

Ask Edwin Semzaba anything

Contact Form