
ELIZABETH MRAMBA SEHEMU YA KWANZAMwandishi na mtangazaji wa shirika la Utangazaji TBC akitoa historia ya maisha yake, elimu yake na mapito yake.
|
|
ELIZABETH MRAMBA SEHEMU YA PILIElizabeth Mramba anazungumzia vitabu vya pamoja na mchakato mzima wa utunzi wake
|
|
Punje ya Tumaini
Fredrick Matata ni kijana mtanashati, wakili na mmiliki wa hoteli kubwa ya kifahari jijini Dar es Salaam. Anajihusisha na starehe za kila aina, wanawake, pombe vyote viliyapamba maisha yake huku watu wakimnyooshea kidole kwamba anajihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya. Hata hivyo nani wa kumgusa? Pesa iliongea.
|
|
No award found
Ask Elizabeth Mramba anything
No questions, Be the first to ask Elizabeth Mramba
Contact Form