
PILI DUMEA SEHEMU YA KWANZAPili Dumea akitoa historia yake kuanzia kuzaliwa pamoja na elimu yake.
|
|
PILI DUMEA SEHEMU YA PILIMtunzi Pili Dumea akieleza namna alivyoupokea mradi wa vitabu vya watoto.
|
|
PILI DUMEA SEHEMU YA TATUPili Dumea akieleza mradi ulivyolegalega, pia mtunzi amezungumzia vitabu vyake kikiwemo kitabu cha Usiku wa Balaa
|
|
Mandari Katika Udzungwa
Darasa la Nne wanaamua kuwa na mandari katika Hifadhi ya Udzungwa. Ilikuwa siku nzuri sana lakini ilikuwa siku ya mashaka vilevile. Je, waliona nini na walipata mashaka gani?
|
|
No award found
Ask Pili Dumea anything
No questions, Be the first to ask Pili Dumea
Contact Form