RIZIKI JUMA SEHEMU YA KWANZAMtunzi Riziki juma kutoka Zanzibar anaeleza historia yake kabala hajawa mtunzi wa vitabu
|
|
RIZIKI JUMA SEHEMU YA PILIMtunzi Riziki Juma anaelezea alivyojikuta katika utunzi wa vitabu na namna alivyo hangaika katika utoaji/ uchapishaji wa kitabu.
|
|
Tumaini
hadithi maalumu kama hidaya kwa watoto wote wenye mahitaji maalumu ya kujifunza, baada ya kufanya kazi katika Kitengo cha Elimu Mjumuisho na Stadi za Maisha. Kukutana mara kwa mara na wanafunzi wenye ulemavu wa aina mbalimbali, kumenisukuma kuandika juu ya watoto hao ili kuhakikisha hakuna mtoto anayeachwa nyuma katika kupata haki sawa ya kielimu kwa vile kila mtoto ana haki ya kupata elimu.
|
|
No award found
Ask Riziki M. Juma anything
No questions, Be the first to ask Riziki M. Juma
Contact Form