
No video uploads for Muhammed Said Abdulla |
Kosa la Bwana Msa
Kosa la Bwana Msa ni riwaya iliyopikwa kwa lugha ya kisanaa na kuivishwa kwa hekima za jamii kwa kuonesha nini hutokea mwanadamu anapovishwa sifa ya uungu ya kutokosea.
|
|
Mzimu wa Watu wa Kale
Mzimu wa Watu wa Kale ni hadithi ya upelelezi ya kusisimua. Katika hadithi hii Bwana Ali anapatikana katika mzimu wa watu wa kale akiwa ameuawa.
|
|
No award found
Ask Muhammed Said Abdulla anything
No questions, Be the first to ask Muhammed Said Abdulla
Contact Form