MBUNDA MSOKILE

BIOGRAPHY




MBUNDA MSOKILE SEHEMU YA TATU

Joyce Nombo akieleza wandishi wa mume wake, safari zake. n.k


  • Views : 2

MBUNDA MSOKILE SEHEMU YA KWANZA

Mke wa Mbunda Msokile Joyce Nombo akimueleza mumewe wakati wa uhai wake.


  • Views : 28

MBUNDA MSOKILE SEHEMU YA PILI

Joyce Nombo akieleza safari za mume wake Mbunda Msokile


  • Views : 2

Thamani ya Ukubwa

Rinda Musekusi anatumia madaraka yake vibaya kwa kupalilia ukabila na kutumia ofisi za umma kwa maslahi yake binafsi. Safari yake haiishii pema kwani anajikuta amedondokea katika mikono ya mahakama tayari kwa ajili ya kuhukumiwa.


  • Published : January 5, 2023

Dhihaka ya Mume

Uvumilivu usioelezeka unagonga mwamba baada ya Marisa kutoweza kuendelea na penzi la manyanyaso la Maina. Dhihaka ya Mume ni riwaya inayoakisi maisha ya jamii iliyojaa matabaka, mila na desturi zilizopitwa na wakati, umasikini, mapenzi na usaliti.


  • Published : January 5, 2023


No award found

Ask Mbunda Msokile anything

Contact Form