
GEORGE MAPUNJO SEHEMU YA KWANZAGeorge Mapunjo akitoa story yake ya maisha kabala hajawa mtunzi
|
|
GEORGE MAPUNJO SEHEMU YA PILIMtunzi George Mapunjo akizungumzia safari yake ya elimu na namna alivyoanza kuandika
|
|
Siri ya Mtoto Ajuaye Mama
Siri ya Mtoto Ajuaye Mama ni tamthiliya inayoonesha matatizo mbalimbali kwenye ndoa zetu.
|
|
Kiu ya Mabadiliko
Kiu ya Mabadiliko ni tamthiliya yenye kubainisha sauti kali ya utetezi kwa wavujajasho wanaonyanyaswa, kuonewa, kudharauliwa na kunyonywa nguvu zao.
|
|
Mtoto wa Mtawala
Mtoto wa Mtawala ni tamthiliya yenye kuonesha jinsi watoto wa viongozi wanavyotumia nafasi za wazazi wao waliopo sehemu za juu kiutawala kunyanyasa na kudhurumu wanaowaongoza.
|
|
No award found
Ask George Cleopa Mapunjo anything
No questions, Be the first to ask George Cleopa Mapunjo
Contact Form