Silaha Mia Moja za Kiongozi
Mchapishaji
Tanzania Educational Publisher
Lugha
Swahili

Azima Kitabu Hiki

Expires on August 07, 2025

TSh 1,000/=

Chagua

MAELEZO YA KITABU

Kiongozi ni mtu yeyote, mwanamke au mwanaume, mwenye madaraka au mamlaka juu ya mtu mmoja au watu wengi. Maana nyingine ya Kiongozi ni mtu aliyepewa jukumu la kuongoza mtu mmoja au watu wengi. Mtu mmoja huyo anaweza akawa mwanandoa mwenzie au mtu mmoja mwingine ambaye ana ushirika naye. “Watu wengi” wanaweza kuanzia wanafamilia yake hadi taifa zima. Kwa upande mwingine, uongozi ni mamlaka ya kuongoza mtu mmoja au watu wengi kwa lengo maalumu.
Lengo hilo linaweza kuwa ni la maendeleo au ukombozi wa aina fulani kwa mtu au watu hao.