Kilimo Bora cha Maharage
Publisher
Tanzania Educational Publisher
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 07, 2025

TSh 4,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

Kilimo Bora cha Maharage ni kitabu kinachoeleza asili, historia, umuhimu wake, sehemu kuu za mmea, aina na jinsi ya kulistawisha kisasa ili kuongeza mavuno kutoka magunia mawili kwa hekta hadi zaidi ya magunia kumi na moja kwa hekta. Kitabu kina sura kumi na tatu zifuatazo:

  • Historia ya kuenea kwa maharage katika Afrika.
  • Umuhimu na faida za maharage.
  • Sehemu kuu za mmea wa maharage.
  • Aina kuu za maharage.
  • Mambo ya kuchunguza mahali pa kupanda maharage.
  • Upandaji wa maharage.
  • Mbolea na umwagiliaji maji.
  • Magugu katika shamba la maharage.
  • Wadudu waharibifu wa maharage.
  • Magonjwa ya maharage.
  • Uvunaji na utayarishaji wa mavuno.
  • Kuhifadhi mavuno.
  • Mbadilisho wa mavuno shambani.
COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review