Kilimo Bora cha Mahindi
Mchapishaji
Tanzania Educational Publisher
Lugha
Swahili

Azima Kitabu Hiki

Expires on August 07, 2025

TSh 800/=

Chagua

MAELEZO YA KITABU

A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 13 chapters:
1. Asili na kuenea kwa mahindi.
2. Aina za mahindi.
3. Maumbile ya mmea na ukuaji wake.
4. Mahitaji muhimu ya mahindi ili yastawi vizuri.
5. Utayarishaji wa mahali pa kupanda mahindi.
6. Mahitaji na matumizi ya mbolea katika kustawisha mahindi.
7. Uchaguzi wa mbegu bora na jinsi ya kuzipanda.
8. Magugu na jinsi ya kuyadhibiti.
9. Wadudu waharibifu wa mahindi.
10. Magonjwa na visumbufu vingine vya mahindi.
11. Uvunaji bora wa mahindi.
12. Hifadhi ya Mahindi.
13. Mbadilisho wa Mahindi Mashambani.

B. Maelezo mafupi ya kitabu:
Kilimo Bora cha Mahindi ni kitabu kinachoeleza mambo mbalimbali yanayohusu mahindi: asili yake, ustawishaji, ulinzi, uvunaji na hifadhi yake. Mahindi ni nafaka muhimu nchini. Hutumiwa na wananchi wengi kwa chakula, kuuza na kutengenezea pombe. Watu wengi hupenda kula ugali wa mahindi. Ni mtamu na huleta afya. Lakini, watu wachache wanaojua jinsi ya kustawisha vizuri zao hili. Kitabu hiki kitakuwa cha msaada kwa wakulima, maofisa ugani, wanafunzi na wanavyuo.

Brief Summary
The book is about How to Grow Maize: its requirements, methods of growing itandcontrol of weeds, diseases insects and harmful animals.