
Pambo
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Hali ya Pambo inabadilika ghafla, anaanza kufanya mambo yanayoashiria kuwa ana changamoto kiakili. Katikati ya mvurugano huu anawachukua vijana wawili – Pesa na Raha na kutokomea nao kusikojulikana. Familia na jamii inachukua jukumu la kuungana ili kupata ufumbuzi wa kadhia hii. Mwandishi anamchora Pambo kama kielelezo cha dhamira yake na kusisitiza kuwa suala hili linaweza kumpata yeyote bila kujali matabaka tuliyonayo katika jamii. Kuta za jamii zinavunjwa na kulazimika kuungana ili kutatua changamoto hii.