
Lina Ubani
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Jamii inakosa usawa na viongozi waliopewa dhamana wanakuwa mstari wa mbele kuharibu badala ya kujenga. Watawala hawashauriki na maamuzi yao yanatengeneza njia itakayoielekeza nchi korongoni. Lakini je, kuna tiba ya haya yanayotukumba? Je, ipo dawa ya rushwa, unyonyaji na ukandamizaji unaoendelea katika jamii? Hili linadhihirisha wazi kuwa limekwisha vunda, swali la msingi ni je, lina ubani?