
Kodi
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Maisha yamekuwa na changamoto nyingi kwa watu wengi. Watoto wanafukuzwa shule, mke na mume hawaelewani na wengine wanafikia kuogopa hata kukaa nyumbani kwao, watoto na wazazi wanagombana, raia wanawalaumu viongozi wao... Maisha yameingia ukakasi, hofu na uchungi mkubwa! Kila mmoja anaimba wimbo ule ule: kodi kodi kodi! nini mchango wa kodi kwenye hali hii? Tamthiriya hii inatupitisha katika visa kadha wa kadha ambavyo vinaangazia ni kwa vipi kodi inaangushiwa lawama dhidi ya kila madhila ya ugumu wa maisha na ukosefu wa amani nyumbani.