Kipaji Changu
Publisher
Lantern - Salum Baruti
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Hiki ni Kitabu cha maandalizi kwa Wanafunzi wa Kidato cha I hadi cha VI kimsingi wa Fasihi. Kitamuwezesha Mwanafunzi kubuni maswali na kuyahakiki atakapokuwa katika mazoezi ya kujiandaa na vitabu halisi vilivyoteuliwa kidato cha IV na cha VI. Vile vile kitampa ujasiri wa kujiamini jinsi ya kujibu maswali Mama yanayoulizwa katika Mitihani ya kidato cha IV na cha VI.
Kitabu hiki kimekusanya Hadithi kumi ambazo zimejenga Maudhui tofauti yanayomhusu Kijana mwenye Dira ya Maendeleo. Pia kinaweza kutumika kwa matumizi ya Rika zote zinazohitaji Mafunzo na Burudani kutokana na Kiswahili na Taswira ya matukio yake lukuki ya ujumbe uliomo.