Hatia
Publisher
Ape Network
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 07, 2025

TSh 2,000/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

Binti Cheja anapelekwa mjini na wazazi wake kufanya kazi
kwa Sembuli – mwanakijiji mwenzao. Huko mjini Cheja
anakutana na mwanamume, wanafanya jambo na Cheja
anapata mimba! Kinyume na matarajio ya Cheja, Juma hana
mpango wowote naye wala hataki kusikia habari ya huo
mzigo Cheja alionao. Kwa hofu na kutokujua cha kufanya,
Cheja anatoroka kazini na kurudi kijijini bila kutarajiwa.
Anapofika nyumbani na simu ya kupotea kwake inafika. Huko
mjini Sembuli anamtafuta bila mafanikio na hivyo kuona
awataarifu wazazi wake. Cheja anakumbana na shinikizo juu
ya shinikizo nalo linampa kigugumizi na kumfanya ashindwe
kusema ukweli. Anaamua kumsingizia mtu mwingine. Loh!
Hofu yake ya kumtaja Juma inaibua ugomvi na mafarakano
makubwa zaidi. Yumkini angekuwa na ujasiri wa kusema
ukweli madhila haya yasingetokea kijijini kwake. Cheja
anajiingiza katika kitendawili kingine kikubwa zaidi ya kile
alichokuwa nacho awali.

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review