Visumbufu Vya Mazao Shambani
Publisher
Tanzania Educational Publisher
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Visumbufu vya Mazao Shambani ni kitabu kinachoeleza visumbufu ambavyo hushambulia mimea ya mazao yawapo shambani yakiendelea kustawi. Aidha, kitabu hueleza namna ya kuvidhibiti. Visumbufu hivyo ni magonjwa, wadudu, ndege, wanyama na magugu. Ni kitabu muhimu kwa wakulima.