Morani
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Mkuu wa Majeshi, Jenerali Akida Mwema, anamshauri Rais Amida Busara kutokupeleka majeshi nchini Kongo ili kufanikisha mkakati wa kijeshi kwanza. Mkuu wa Majeshi anafanya kazi kufa na kupona. Katika pilikapilika za kukamilisha mkakati huo anakumbana na udanganyifu, mauaji, na usaliti.