Morani
Mchapishaji
Ape Network
Lugha
Swahili

Azima Kitabu Hiki

Expires on August 06, 2025

TSh 2,000/=

Chagua

MAELEZO YA KITABU

Mkuu wa Majeshi, Jenerali Akida Mwema, anamshauri  Rais Amida Busara kutokupeleka majeshi nchini Kongo ili kufanikisha mkakati wa kijeshi kwanza. Mkuu wa Majeshi anafanya kazi kufa na kupona. Katika pilikapilika za kukamilisha mkakati huo anakumbana na udanganyifu, mauaji, na usaliti.