
Kosa la Bwana Msa
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Kosa la Bwana Msa ni riwaya iliyopikwa kwa lugha ya kisanaa na kuivishwa kwa hekima za jamii kwa kuonesha nini hutokea mwanadamu anapovishwa sifa ya uungu ya kutokosea.