Kichomi
Publisher
Ape Network
Language
Swahili

Rent This Book

Expires on August 06, 2025

TSh 1,400/=

Choose Option

BOOK OVERVIEW

Kichomi ni diwani inayoakisi mawazo anuwai kutoka kwenye nyanja tofauti za maisha, kama vile uchumi, siasa, utamaduni, ndoa na dini; hususan katika sehemu ya kwanza ya diwani aliyoiita Mashairi ya Mwanzo. Je, ni mawazo gani hayo? Katika sehemu ya pili ya diwani hii aliyoiita Fungueni Mlango, mshairi ameibua swali muhimu linalousakama moyo wake: Maana ya maisha ni nini? Hii ni diwani chokonozi iliyojaa tafakuri zisizoepukika katika maisha yetu

COMMUNITY REVIEWS

There are no reviews for this book yet

Write a Review