Hojaze Mshairi
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Diwani hii ina mashairi 27 yanayoibua hoja juu ya masuala mbalimbali yanayoihusu jamii yetu. Zipo hoja timilifu, maoni ya mwandishi na pia zipo hoja zinazochokoza fikra za msomaji juu ya mambo yaliyopo katika jamii kwa njia ya maswali. Mwandishi amekusudia diwani hii iwe kama kichocheo cha kuielewa, kuikosoa na hata kuisaidia jamii kwa kutafuta suluisho za changamoto zake. Msomaji anaweza kuzijibu, kuzipinga na hata kuzitafutia ufumbuzi hoja zinazoibuliwa.