
Dhihaka ya Mume
Publisher
Ape Network
Language
Swahili
BOOK OVERVIEW
Uvumilivu usioelezeka unagonga mwamba baada ya Marisa kutoweza kuendelea na penzi la manyanyaso la Maina. Dhihaka ya Mume ni riwaya inayoakisi maisha ya jamii iliyojaa matabaka, mila na desturi zilizopitwa na wakati, umasikini, mapenzi na usaliti.