Tambueni Haki Zetu
Mchapishaji
Ape Network
Lugha
Swahili

Azima Kitabu Hiki

Expires on August 06, 2025

TSh 2,000/=

Chagua

MAELEZO YA KITABU

Raia wa nchi huru wanajikuta katika hatari ya kutawaliwa na wageni ambao wao wenyewe waliwakaribisha. Uhuru na amani yao imeingiliwa na kuna hatihati ya kuupoteza. Watone hawana budi kujilinda na ukandamizaji toka kwa Waboma na Wakusa ambao ni wageni katika ardhi yao. Hata hivyo, katika kujitetea, lisilo budi linatokea – watu wanakufa. Hatia hii inawekwa mikononi mwa Watone kwa kuwa wao ndio walioamka kujitetea na kwa kuwapo kwa waraka wa kale wa kilaghai. Mundewa, kiongozi wao anakataa kurithi makosa na anauchana waraka – anataka haki ya Watone.