
Mfadhili
Mchapishaji
Ape Network
Lugha
Swahili
MAELEZO YA KITABU
Changamoto wanazopitia wapenzi hawa wanapojaribu kutetea penzi lao na visa vinavyoibuka kutokana na jitihada hizi ni chanzo cha hamasa na msisimko utakaokufanya usiweze kuweka kitabu hiki chini. Nani anafaulu? Je penzi linadumu ama linaporomoka? Majibu ya maswali haya yamo ndani ya kurasa za kitabu hiki.